PURA yaweka mikakati ya kuongeza wawekezaji
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungezi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Khalfan Khalfan amesema kuwa PURA itahakikisha inaongeza wawekezaji kwenye maeneo ambayo yako wazi ili kuongeza matumizi ya gesi asilia kwa viwandani na majumbani . Gesi asilia nyingi nchini hivyo kazi iliyopo ni kuendelea kushawishi wawekezaji katika kuja kuwekeza katika eneo…