AG, IGP kujitetea kesi ya waumini Kanisa la Gwajima
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imetoa siku 10 kwa wajibu maombi kuwasilisha utetezi wa maandishi katika shauri la Kikatiba lililofunguliwa na baadhi ya waumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church. Shauri hilo la maombi mchanganyiko namba 16408 limefunguliwa na Dinali Mbaga na wenzake 51 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali…