Kocha: Hivi ndivyo Small Simba ilivyoanguka

NI miaka 24 sasa tangu Small Simba ya Zanzibar ipotee katika ramani ya soka la kiushindani, ambapo timu hiyo yenye rekodi na mafanikio makubwa ilianzishwa mtaani ikijulikana kwa jina la ‘Sunderland’, kisha baadaye kubadilishwa. Timu hiyo ilipiga hatua zaidi miaka ya 1970–1980, ambapo mwaka 1977, timu hiyo ilishiriki Ligi Daraja la Pili na ikapata nafasi…

Read More

TPA yatekeleza maagizo ya Bodi ya TASAC Bandari ya Nyamisati

*Mkurugenzi Mkuu TASAC asema zaidi ya Bilioni Mbili kununua boti za Uokozi Na Chalila Kibuda ,Rufiji Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imesema maagizo walioyatoa kwa Mamlaka ya Bandari (TPA)katika Bandari ya Nyamisati yametekelezwa kwa asilimia 95. Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya ziara ya Bodi hiyo katika Bandari ya Nyamisati…

Read More

Jaji Mkuu wa Tanzania ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya kuanzishwa kwa Mahakama huru nchini Ireland

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma jana tarehe 28 Mei, 2024 aliungana na Majaji Wakuu kutoka nchi mbalimbali Duniani katika maadhimisho ya miaka 100 ya kuanzishwa kwa Mahakama huru nchini Ireland. Maadhimisho hayo yalifanyika katika Jengo la Mahakama ya Upeo (Supreme Court) lililopo Mji Mkuu wa Dublin na yalihudhuriwa na Majaji Wakuu…

Read More

Tuzo za umahiri sasa kutolewa Zanzibar

Unguja. Kwa mara ya kwanza Zanzibar imeandaa tuzo za umahiri katika mawasiliano ambazo zitashirikisha waandishi wa habari kutoka ndani na nje ya nchi. Tuzo hizo ambazo zimeandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar, Taasisi ya Uhusiano ya Umma Tanzania (IPRT) na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar, zinatarajiwa kutolewa Julai 5 mwaka huu kisiwani humu….

Read More

BENKI KUU YATANGAZA KIWANGO CHA RIBA KUBAKI ASILIMIA SITA

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma. Waandishi wa habari…

Read More

Karibu tena Maximo changamoto zilezile

KIJIWE kimepata taarifa za uhakika kuwa, kuna uwezekano mkubwa aliyekuwa kocha kipenzi cha Watanzania Marcio Maximo akarejea nchini. Baada ya kuja mara ya kwanza kuinoa timu ya taifa, Taifa Stars na baadaye mara ya pili akaja kuifundisha Yanga, Maximo sasa anakuja kufanya kazi katika upande mwingine wa Jamhuri ya Muungano, yaani visiwa vya Zanzibar. Maximo…

Read More

Yanga hii… Tabu iko pale pale

YANGA imesharejea nchini kutoka Afrika Kusini ilipoenda kuweka kambi ya siku 10, ikicheza mechi  tatu za kimataifa za kurafiki, ikuiwamo kubeba ubingwa wa Kombe la Toyota, huku mastaa wapya wakimpa kiburi kocha Miguel Gamondi. Katika mechi hizo tatu dhidi ya FC Augsburg ya Ujerumani, TS Galaxy na Kazier Chiefs za Afrika Kusini, kocha Gamondi alionyesha…

Read More