CEO Simba na mizigo ya kubeba

Novemba 23, 2024, Klabu ya Simba ilimtangaza rasmi, Zubeda Hassan Sakuru kuwa kaimu mtendaji mkuu (CEO), hatua ambayo imepokelewa kwa hisia mchanganyiko kutoka kwa wadau wa soka lakini pia na wanachama wa timu hiyo kutokana na matarajio yao. Zubeda ameteuliwa kushika wadhifa huo akichukua nafasi ya Mnyarwanda, Francois Regis aliyedumu kwa miezi minne tu ndani…

Read More

Viongozi wadaiwa kukacha mkutano wa diwani Simanjiro

Simanjiro. Wakazi wa Kijiji cha Loiborsiret wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamewashukia mwenyekiti wa kijiji hicho  Kimaai Saruni na mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Aloyce Teme kwa kutoshiriki mkutano wa Diwani wa Loiborsiret, Ezekiel Lesenga maarufu Maridadi. Wananchi wamedai viongozi hao wamegoma kushiriki mkutano wa diwani wao uliokuwa na agenda ya kusoma taarifa ya utekelezaji…

Read More

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AFUNGUA MAONYESHO YA TANZANITE MANYARA TRADE FAIR 2024

Na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG, Manyara. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amefungua maonyesho ya Tatu ya biashara ,Viwanda ,kilimo na Madini ya Tanzanite Manyara Trade Fair 2024 yaliyofanyika yaliyofanyika katika Viwanja vya Stendi ya Zamani mjini Babati Mkoani Manyara huku akiahidi kuwa serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kibiashara na uwekezaji ili kukuza…

Read More

Russia, Ukraine zabadilishana wafungwa wa vita 230

Russia. Russia na Ukraine zimefikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa wa vita 115 kila upande, katika mazungumzo yaliyosimamiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE iliyotolewa Jumamosi Agosti 24, 2024, UAE imesaidia kufanikisha mabadilishano haya, ambayo ni matokeo ya mikutano saba ya majadiliano kati…

Read More

Mfahamu Katibu Mkuu Mpya wa NATO – DW – 01.10.2024

Mwezi Julai mwaka 2023, Mark Rutte alitangaza kujiuzulu katika wadhifa wake wa Waziri Mkuu wa Uholanzi na miezi michache baadaye akaanza kudhihirisha nia yake ya kumrithi Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, ambaye alitangaza kuachia wadhifa huo Septemba mwaka huu wa 2024. Kwa miezi kadhaa, Rutte aliendesha kampeni yake ndani ya muungano wa NATO, huku…

Read More

Makambo ampa mzuka Fabrice Ngoy

NYOTA wa Namungo, Fabrice Ngoy amesema kucheza timu moja na mshambuliaji mwenzake raia wa DR Congo, Heritier Makambo kunampa motisha kuhakikisha anaendelea kupambana katika kikosi cha kwanza, kila anapopata nafasi uwanjani. Kauli ya Ngoy inajiri baada ya kuongezewa washambuliaji wengine akiwemo Makambo aliyewahi kuichezea Yanga na msimu uliopita alicheza Tabora United (kwa sasa TRA United)…

Read More