Ukosefu wa taulo za kike ni changamoto kwa wanafunzi

Ukosefu wa taulo za kike hususani kwa wanafunzi wanaotoka katika kaya masikini ni miongoni mwa changamoto zinazochangia baadhi yao kushindwa kuhudhuria masomo kwa kipindi chote cha hedhi hali inayosababisha baadhi yao kushindwa kufanya vizuri kwenye masomo yao kulinganisha na wengine wenye uwezo. Kufuatia hali hiyo Kampuni ya Beneficia imeamua kutoa msaada wa taulo za kike…

Read More

Simba yampa miwili kiungo Mkenya

SIMBA inaendelea kushusha vyuma kwa ajili ya msimu ujao na safari hii imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Ulinzi Starlets, Fasila Adhiambo kwa mkataba wa miaka miwili. Huu utakuwa usajili wa nne kwa Simba Queens baada ya kukamilisha usajili wa beki wa Yanga Princess, Asha Omary, mshambuliaji kutoka Rwanda, Zawadi Usanase na kipa Mganda, Ruth…

Read More

Beki Mzenji aziingiza nne vitani

WAKATI beki wa kati wa Coastal Union, Haroub Mohamed, akibakisha miezi sita katika mkataba wake na kikosi hicho cha jijini Tanga, tayari timu mbalimbali zimeanza kuiwinda saini yake zikiwamo za KMC, TRA United na maafande wa JKT Tanzania na Mashujaa. Mtu wa karibu na nyota huyo aliliambia Mwanaspoti, licha ya ofa mbalimbali za kuhitajika, uongozi…

Read More

Mwenyekiti UVCCM Makongorosi auawa | Mwananchi

Mbeya. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na  mwili wake kukutwa Kata ya Mkola. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,…

Read More

Wawili mbaroni kwa wizi wa bajaji Njombe

Njombe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Juma Kimata (24) na Wetrack Ephraim Ngangalawa (32), wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako kwa tuhuma za wizi wa bajaji, ambao wanatumia nguvu katika kutekeleza wizi huo. Hayo yamesemwa leo, Aprili 25, 2025, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati akizungumza na waandishi…

Read More

ZIMAMOTO WAZINDUA NYUMBA ZA MAKAAZI NA MAGARI.

DODOMA. Mei 13, 2024 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mhandisi Hamad Masauni (Mb) amezindua Nyumba za Makaazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo Kikombo Jijini Dodoma. Uzinduzi huo umefanyika sambamba na uzinduzi wa Magari 12 ya kuzimamoto, yakiwemo Magari mawili ya Ngazi yenye uwezo wa kufanya maokozi katika Majengo Marefu…

Read More

Wazazi wahimizwa kuwekeza kwenye malezi bora ya watoto

Moshi. Wazazi wametakiwa kuwalea watoto katika misingi ya maadili na hofu ya Mungu, ili kujenga jamii yenye kizazi chenye nidhamu na maadili, hatua itakayowezesha kuepuka mmomonyoko wa maadili ambao umeendelea kuwa changamoto kwa Taifa. Rai hiyo imetolewa leo Septemba 28, 2025 na mwanafunzi wa uchungaji, Neema Mangale wakati akihubiri katika ibada ya sikukuu ya watoto…

Read More

Rais Samia: Nimemrudisha Makamba kwa mama

Lushoto. Rais Samia Suluhu Hassan amesema ameamua kumrudisha kwake Mbunge wa Mumbuli, Januari Makamba baada ya kile alichodai alimpiga kikofi. Kauli ya Rais Samia inakuja miezi saba, tangu alipotengua uteuzi wa Makamba katika nafasi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Ingawa taarifa ya utenguzi wa Makamba ya Julai mwaka jana…

Read More

CHAN 2024: CAF yazuia wapigaji Uganda

WAKATI timu ya taifa ya Uganda Cranes ikijiandaa kwa mechi ya nusu fainali ya CHAN 2024 dhidi ya Senegal, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechukua hatua ya kupunguza idadi ya tiketi ambazo shabiki anaweza kununua mtandaoni. Hadi sasa, kila shabiki ataruhusiwa kununua tiketi tatu tu, kutoka tano zilizokuwa zikiruhusiwa awali. Taarifa hiyo imetolewa na Dennis…

Read More