
Kocha Fadlu Afafanua Mustakabali wa Ladack Chasambi – Global Publishers
Last updated Aug 21, 2025 Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ametoa msimamo wake wazi juu ya kiungo mshambuliaji, Ladack Chasambi, akibainisha kuwa hayupo katika mipango yake ya msimu ujao. Inaelezwa kuwa Fadlu hana mpango wa Chasambi katika nafasi ya winga, na hivyo amempa chaguo muhimu: kama Chasambi anataka kubaki klabuni,…