Aweso aweka kambi Singida kutafuta suluhu Maji chini ya Ardhi

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameipongeza Kampuni ya AL FRADAWS investment Company Limited kutoka Jordan ambayo ni wawekezaji katika uzalishaji wa Mbegu mbalimbali Mkoani Singida kwa Kuja na Suluhisho katika Upatikanaji Maji Mkoani humo Kupitia Teknolojia ya Pivot irrigation System.Mkoa wa Singida ni kati ya mikoa yenye changamoto ya vyanzo vya Maji vya uhakika…

Read More

Mkutano wa Jeddah unafungwa kwa kupitishwa kwa ahadi za kimataifa za kukabiliana na ukinzani wa antimicrobial – Masuala ya Ulimwenguni

Mara baada ya kupitishwa kwa ahadi hizo katika mji wa pwani wa Saudia, Waziri wa Afya wa nchi mwenyeji Fahad Al-Jalajel alisema matokeo ya mkutano huo yanatoa “vizuizi muhimu vya ujenzi” kwa nchi wanachama na mashirika ya kimataifa kuchukua hatua kwa kiasi kikubwa dhidi ya upinzani dhidi ya viini, na kwamba inajenga. kwenye Azimio la…

Read More

Kwa nini umfiche mwenza wako kipato?

Canada. Hakuna kitu kizuri na chenye faida na furaha kwa wanandoa kama kutofichana mambo au siri.  Hapa tutaongelea athari na madhara ya kufichana kipato au kila mwanandoa kuwa na chake badala ya chetu. Wanandoa wanapokuwa wawazi, licha ya kuwapa kuaminika na kujiamini, huwasaidia pale wanapokumbwa na misukosuko ya kifedha au kiuchumi kama vile kufilisika, kuachishwa…

Read More

Salum Mwalimu aahidi Tanzania ya ‘maziwa na asali’

Tanga. Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amewaomba Watanzania kumchagua kwa kishindo ifikapo Jumatano Oktoba 29, 2025, ili alitengeze taifa lenye ustawi na neema, akiahidi kuigeuza Tanzania kuwa “nchi ya maziwa na asali’ iwapo atapewa ridhaa ya kuingia Ikulu. Akihutubia wakazi wa Muheza katika viwanja vya Madaba, jijini Tanga kwenye…

Read More

Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 2025

Dodoma. Licha ya kutajwa majina saba katika nafasi ya makamu mwenyekiti mpya wa CCM-Bara, mrithi atafahamika katika Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Januari 18 hadi 19, 2025. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya CCM, mkutano huo unalenga kuziba pengo lililoachwa wazi na Abdulrahman Kinana, aliyejiuzulu nafasi ya makamu mwenyekiti -Bara Julai…

Read More