Afterwork ya Heineken ni tukio la kukutana pamoja baada ya kazi.
Kampuni ya bia ya Heineken Tanzania inaendelea na burudani yake ya “Afterwork by Heineken” hii ni burudani kwa wadau wake baada ya kazi na kuweza kupumzika pamoja kwa kupata kiywaji chao cha Heineken na burudani ya muziki. Hili ni tukio linalojumuisha watu pamoja baada ya siku ndefu ya kazi. Tukio hili lenye msisimko limeanzishwa ili…