Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 9, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Mwaka 2024 unatamatika leo ukiacha kumbukumbu muhimu za matukio kadhaa ya elimu yanayoufanya kuwa mwaka wa kipekee katika historia ya sekta ya elimu nchini. 2024 ndio mwaka ambao pamoja na mengineyo Taifa limeshuhudia kuanza kwa utekelezaji wa mtalaa mpya wa elimu ya amali kwa baadhi ya shule za sekondari. Oktoba 10 mwaka 2023, Waziri wa…
East African Court of Justice, Arusha, Tanzania, 3rd May, 2024: The Tanzanian Minister of Constitutional and Legal Affairs, Hon. Amb. Dr. Pindi H. Chana, on Thursday paid a courtesy call on the Judge President of the East African Court of Justice (EACJ), Justice Nestor Kayobera. The meeting aimed to strengthen ties between Tanzania and the…
Pyongyang. Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa ya kati ikiwa ni mwendelezo wa majaribio yake ya silaha. Kombora hilo limerushwa wakati ambao Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken anaendelea na ziara yake nchini Korea Kusini. Taarifa iliyotolewa jana Jumatatu Januari 6, 2025 na Jeshi la Korea Kusini ilisema kombora hilo lilielekezwa…
Na Mwandishi wa NCAA, Tanga. Timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imewasili mkoani Tanga kushiriki kikamilifu katika Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafsi (SHIMMUTA) yanayoanza leo tarehe 10 hadi 24 Novemba 2024, jijini Tanga. Mashindano haya yanajumuisha mashirika mbalimbali nchini yakiwa na lengo la kukuza mshikamano, afya, na ari ya…
MCHONGO ni mmoja tu leo piga penalty ushinde kitita cha kutosha kupitia mchezo mpya wa kasino unaoitwa Beach Penalties ambao unaptikana kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet. Kwenye mchezo wa Beach Penalties unachotakiwa kukifanya ni kimoja kufunga penalty zako tano ambazo zitakua na odds nzuri halafu unayakua zako mkwanja, Hii ni ya kipekee na…
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imetoa gawio la Sh. 12.2 bilioni kwa Serikali na kuahidi kuendelea kuboresha huduma zake ili kufanya vizuri zaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Puma wamekabidhi gawio hilo leo Jumanne Ikulu jijini Dar es Salaam mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kampuni hiyo ni moja ya 10 zilizowasilisha gawio kwa Serikali ambazo…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limetoa taarifa kuwa watuhumiwa watatu waliokuwa wakituhumiwa kumteka kisha kumuua Shyrose Mabula, mwanafunzi wa Shahada ya Sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tawi la Mbeya, Shyrose Mahande (21), wameuawa wakati wakijaribu kupambana na polisi wakati wa ukamataji wao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, amewataja waliouawa kuwa ni Marwa Nyahega,…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Azam FC, Jhonier Blanco amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na timu ya Llaneros ya kwao Colombia, baada ya kutokuwa na timu yoyote tangu alipoachana na wanalambalamba aliowatumikia kwa msimu wa 2024-25. Baada ya kuondoka Azam, mshambuliaji huyo awali ilielezwa angejiunga na timu ya Independiente Santa Fe ya huko kwao Colombia, lakini dili…
Benki ya Exim Tanzania imetoa msaada wa vifaa tiba ya afya kama sehemu ya mchango wake katika jitihada za kuboresha huduma za afya katika wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga. Makabidhiano hayo ambayo yamefanyika mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, yanalenga kusaidia kupunguza changamoto za huduma za afya katika wilaya hiyo katika tukio…