Uwanja wa Nsekela Kujenga mshikamano wa michezo Kyerwa

Na Diana Byera-Kyerwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amezindua rasmi uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu ujulikanao kama Nsekela Stadium uliojengwa na Abdulmajid Nsekela Mwenyekiti wa taasisi ya Abdulmajid Nsekela Foundation. Akizindua uwanja huo uliojengwa Wilayani Kyerwa katika eneo la Rwenkorongo Mkuu wa Mkoa Mwassa amempongeza Abdulmajid Nsekela mzaliwa wa Kyerwa…

Read More

Ifahamu saratani ya damu iliyokatisha uhai wa Mafuru

Dar es Salaam. Wataalamu wa magonjwa ya saratani wamesema ugonjwa wa saratani ya damu ‘Leukemia’ hauna chanzo maalumu, huku wakitaja sababu za kimazingira zinazoweza kuchangia mtu kupata ugonjwa huo. Saratani ya damu ndio ugonjwa uliokatisha maisha ya aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Tanzania, Lawrence Mafuru (52). Mtaalamu huyo wa fedha na uchumi maarufu…

Read More

WANANCHI WA BARIADI WAVUTIWW NA ELIMU YA FEDHA

Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, akiwa miongoni mwa timu ya watoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, miongoni mwa elimu aliyotoa ni pamoja na kuwaelimisha wananchi njia mbalimbali watakazotumia…

Read More

Shule Iringa zalia uhaba wa walimu wa Tehama

Iringa. Uhaba wa walimu wenye ujuzi wa kufundisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama),  umetajwa kuwa kikwazo cha wanafunzi wa shule za sekondari mkoani Iringa kujifunza teknolojia hiyo. Karibu shule nyingi za sekondari za Mkoa wa Iringa zimeanzisha madarasa ya Tehama kutokana na uwepo wa kompyuta. Hivi karibuni, shirika linalolenga kukuza ujuzi wa Tehama shuleni…

Read More

UWT WATOA TAMKO TUKIO LA BINTI KUFANYIWA UKATILI, UDHALILISHAJI – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imelaani vikali kitendo cha ukatili wa kijinsia kilichoripitiwa kumhusu msichana mmoja mkazi wa Dar es Salaam, Wilaya ya Temeke katika Kata ya Makangarawe anayedaiwa kufanyiwa ukatili wa kijinsia baada ya picha zake kusambaa mitandaoni akifanyiwa vitendo vya kidhalilishaji na takribani vijana watano.     Taarifa iliyotolewa…

Read More

RC SINGIDA AGOMEA KUZINDUA BWENI

-Kutokana na umaliziaji wake ni chini kiwango Na Mwandishi Wetu ,Singida Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, amekataa kuzindua bweni la Wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari Mtekente iliyopo Wilayani Iramba baada ya kubaini kuwa ujenzi huwa wa bweni pamoja na jiko yaliyojengwa na Kampuni inayojishughulisha na ununuzi wa pamba Biosustain mkoani humo…

Read More