EASTC WAJIPANGA KUTOA ELIMU ZAIDI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU,UJUZI NA UBUNIFU TANGA.
Na.Alex Sonna-TANGA Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), kinashiriki maonesho ya kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yaliyoanza tarehe 25 hadi 31 Mei, 2024 jijini Tanga. Maonesho hayo yenye lengo la kukuza ubunifu na sekta ya elimu nchini kwa mwaka huu yameambata na kauli mbiu ya “Elimu, Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia kichocheo cha…