Ujenzi tanki la gesi ya Oryx katika soko la feri waiva
MBUNGE wa Ilala na Naibu Spika wa Bunge, Musa Azzan Zungu amesema makubaliano ya kisheria yamefikia zaidi ya asilimia 90 na kampuni ya Oryx Gas Tanzania kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki kubwa la kisasa la gesi ambalo litagharimu zaidi ya Sh.300 katika Soko la Kimataifa la Samaki Feri jijini Dar es…