Mradi Tanzania ya Kidijitali wafikia asilimia 90

Dar es Salaam. Utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya kidigitali unaogharimu zaidi ya Sh387.6 bilioni umefikia zaidi ya asilimia 90, huku upatikanaji wa huduma za baadhi ya taasisi mitandaoni ukitajwa kuwa moja ya faida. Mradi huo wa miaka mitano, ambao Benki ya Dunia imetoa fedha, unatarajiwa kufikia tamati Oktoba 2026, ukiwa unasimamiwa na Wizara ya…

Read More

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KIJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MPIGA KURA

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe William Lukuvi ametoa rai kwa viongozi wa vyama vya siasa viongozi wa dini viongozi wa kimila na viongozi wengine kushirikiana katika kuhimiza wananchi kwenda kujiandikisha kwa sababu ni haki yao. Wito huo umetolewa leo tarehe 11/10/2024 wakati wa…

Read More

MAONESHO YA BIT KUIPA MOTISHA TASNIA YA MITINDO NA UREMBO NCHINI

Wadau Wa Tasnia ya Urembo na Mitindo waombwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya Kiwanda cha Urembo ( Beauty industry Tanzania) linalotarajiwa Kufanyika Septemba 05,2025 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.  Akizungumza na Michuziblog Muandaaji wa Tamasha hilo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Beauty industry Tanzania (BIT) Precious Joseph  amesema Kumekuwa na Matamasha…

Read More

Diwani wa CCM Geita afariki dunia

Geita.  Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia. Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi viwili mfululizo na amefikwa na mauti akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando kwa ugonjwa wa nimonia tangu Novemba 23, 2024. Ni miezi minne…

Read More