Shindano la Mabingwa Expanse kukupa mamilioni Sikukuu hii

Najua unafikiria namna gani unaweza kupiga mkwanja mrefu na kuifanya sikukuu yako kua nzuri na ya kibabe, Sasa kupitia shindano la michezo ya Expanse kasino unaweza kushinda kitita cha kutosha. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la…

Read More

Wanaume wasiotaka kuzeeka dawa ya bure hii hapa

Wanaume ambao wameoa huwa hawazeeki haraka ikilinganishwa na wale ambao ni makapera, utafiti umebaini. Utafiti huo uliochapishwa katika jarida la International Social Work,  uliangazia umuhimu wa ndoa kwa wanaume na wanawake na mchango wake katika safari yao ya kuzeeka. Hata hivyo, kwa wanawake haikubainika iwapo maisha ya ndoa yanapunguzia uzee. Kwenye utafiti huo uliochukua miaka…

Read More

Kugeukia Mazoea ya Kuzalisha Upya na Vijidudu vya Udongo Kupambana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi – Masuala ya Ulimwenguni

Mbinu za kilimo cha urejeshaji ni seti ya mbinu endelevu za kilimo na kilimo ambazo zinalenga kuimarisha afya ya udongo, rasilimali za maji, uchukuaji kaboni wa kikaboni kwenye udongo na uanuwai wa kibayolojia wa udongo. Credit: Busani Bafana/IPS Maoni by Esther Ngumbi (urbana, illinois, sisi) Jumatano, Desemba 04, 2024 Inter Press Service URBANA, Illinois, Marekani,…

Read More

Mchezo mchafu watiania CCM wafichuliwa

Dar/mikoani. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeanza vikao vya mchujo wa majina ya wagombea ngazi ya kitaifa, huku kikisema kimebaini michezo michafu inayofanywa na watiania, ikiwamo kuziingilia kamati za siasa na kuchafuana. Pia, kimeeleza utaratibu wake wa kupendekeza watiania, unahusisha alama A hadi E na anayepewa ya kwanza ndiye anayestahili zaidi na ya mwisho hastahili kupendekezwa,…

Read More

Walimu, wanafunzi Pugu wanolewa elimu ya fedha

Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya fedha na umuhimu wa kuweka akiba kwa wanafunzi na walimu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Pugu, iliyopo Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Hatua hii inalenga kuwapa wanafunzi ujuzi wa kifedha, kuwawezesha kujiwekea akiba, kubuni mawazo ya biashara na kufahamu jinsi…

Read More