Chalamanda, JKT Tanzania kimeeleweka | Mwanaspoti
TAARIFA zinabainisha kuwa, JKT Tanzania imefanikiwa kunasa saini ya kipa wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda kwa kumpatia kandarasi ya miaka miwili. Kagera ambayo haikuwa na msimu mzuri 2024-2025, imeshuka daraja baada ya kumaliza nafasi ya 15, matokeo yaliyoipeleka kikosi hicho kushiriki Ligi ya Championship msimu ujao. Chalamanda ambaye alikuwa kipa namba moja kikosini hapo, ni…