Polisi yanasa mtandao wa mauaji Dodoma
Dodoma. Watu wanne wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika katika mtandao wa mauaji jijini Dodoma. Wanatuhumiwa kusababisha vifo vya watu wanane, huku watano wakijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Waliokamatwa katika mtandao huo unaodaiwa kuhusika katika matukio manne ya mauaji yaliyotokea kati ya Julai mosi na Septemba 16, 2024…