
Taifa Stars twen’zetu nusu fainali CHAN 2024
LEO Ijumaa, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina mchezo muhimu katika michuano ya CHAN 2024 itakapoikaribisha Morocco kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam huku mazingira ya timu hiyo kufanya vizuri yakiwekwa sawa. Mchezo huo uliopangwa kuanza saa 2:00 usiku, Taifa Stars ni mara ya kwanza inacheza hatua ya robo fainali, wakati…