Yanga yaitibulia Simba, Backer akiri!

KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker ameeleza kile kipigo ilichopokea Singida Black Stars cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga, kwao kimewaongezea ugumu wanapokwenda kukutana na Walima Alizeti hao, lakini wamejipanga kufanya kweli. Barker ameliambia Mwanaspoti: “Pamoja na ugumu huo, nimewajenga wachezaji kimbinu na…

Read More

Anayedaiwa kutapeli watalii kupitia mitandao atiwa mbaroni 

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Musa Mushi (40), kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutapeli watalii wanaoingia nchini wakiwamo wanaokuja kutalii kwenye Mlima Kilimanjaro. Taarifa ya kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, imetolewa leo Machi 12, 2026 na Kamanda wa Polisi  Mkoa…

Read More

Mbele ya Wiki ya Mkutano Mkuu wa hali ya juu, Guterres anawasihi viongozi wa ulimwengu ‘kupata uzito-na kutoa’-maswala ya ulimwengu

Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya UN Jumanne huko New York, alionya kwamba mgawanyiko wa ulimwengu, mizozo na machafuko yameacha kanuni ya ushirikiano wa kimataifa kwa hatua yake dhaifu katika miongo. “Wengine huiita Kombe la Dunia la diplomasia,” Bwana Guterres alisema. “Lakini Hii haiwezi kuwa juu ya alama za kufunga…

Read More

Madaktari bingwa waweka kambi Maswa

Maswa. Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza, wameweka kambi ya siku saba katika Hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa maeneo hayo. Wananchi waliofika kupata huduma wamesema uwepo wa madaktari hao utawapunguzia gharama za kusafiri kwenda hospitali…

Read More

Mapungufu ya ufadhili yanatishia karibu watu milioni 2 waliokimbia makazi yao – Masuala ya Ulimwenguni

The onyo inakuja wakati taifa hilo changa zaidi duniani likisalia kuwa miongoni mwa mizozo ya juu zaidi ya wakimbizi, huku takriban watu milioni 10 wakihitaji msaada wa kibinadamu wakiwemo waliorejea waliokimbia vita katika nchi jirani ya Sudan. IOMinahitaji zaidi ya $131 milioni kwa operesheni nchini Sudan Kusini mwaka huu lakini inakabiliwa na a Pengo la…

Read More

Kanuni kudhibiti maonyesho ya biashara yanayofanyika holela

Dar es Salaam. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imekuja na kanuni maalumu ambazo zinalenga kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kudhibiti baadhi ya vitendo vinavyoumiza wafanyabiashara ikiwemo kuandaa maonyesho yasiyoweza kuleta tija. Hayo yameelezwa katika kikao cha pamoja na wadau kilichoandaliwa na Tantrade kwa ajili ya kujadili kanuni hizo kilichofanyika leo Machi 11,…

Read More