Singida Black Stars yafuata mido Burkina Faso

SINGIDA Black Stars imetua kambi ya timu ya Taifa ya Burkina Faso ikipambana kuipata saini ya Clement Pitroipa mwenye uwezo wa kucheza kiungo mshambuliaji na ukabaji. Pitroipa alikuwa nyota wa mchezo wakati Burkina Faso ikiichapa Kilimanjaro Stars katika michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika juzi Jumatatu Kisiwani Pemba akifunga bao moja na kutengeneza lingine wakishinda…

Read More

Majeraha yamtibulia Yacouba Songne | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI nyota wa Tabora United, Yacouba Sogne huenda akakosa mechi zilizosalia za Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha yaliyomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu, kwani hivi sasa yupo Morocco kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji. Yacouba aliyetua Tabora msimu huu akitokea AS Arta Solar ya Djibouti, ni wazi kuwa hajaanza kazi vizuri msimu…

Read More

Kutojua sheria kulivyomkosesha Sh505 milioni za Tanesco

Arusha. Kama sio kutoijua sheria vizuri, pengine Clara Kachewa angepata kifuta machozi cha Sh505 milioni alichokuwa akilidai Shirika la Umeme (Tanesco), baada ya kupigwa shoti ya umeme iliyosababishwa na waya wa umeme ulioangukia kwenye nyumba yao Tabata Dar es Salaam. Ajali hiyo ya umeme imemsababishia Clara Kachewa madhara ya kudumu ya kupoteza kumbukumbu. Kutokana na…

Read More

Mluya wa DP aahidi Serikali isiyokopa nje

Dar es Salaam. Mgombea urais wa Chama cha Democratic Party, Abdul Mluya leo Jumatano Oktoba 15, 2025, akizungumza katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika Vingunguti, jijini Dar es Salaam, ametoa ahadi za mageuzi katika sekta mbalimbali akisema analenga kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi. Akizungumzia mwelekeo wa uchumi atakaoujenga, Mluya amesema serikali yake itakuwa na…

Read More

RATIBA KAMILI YA EPL 2024/25 HII HAPA

    Friday 16 August 2024 Man Utd v Fulham Saturday 17 August 2024 Ipswich Town v Liverpool Arsenal v Wolves Everton v Brighton Newcastle United v Southampton Nottingham Forest v AFC Bournemouth West Ham v Aston Villa Sunday 18 August 2024 Brentford v Crystal Palace Chelsea v Man City Monday 19 August 2024 Leicester…

Read More

NBAA YATUA TANGA – MICHUZI BLOG

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania(NBAA) imeendelea kutoa elimu na kujenga ufahamu juu ya Taaaluma ya Uhasibu kwa wanafunzi wa vyuo na shule mbalimbali za sekondari nchini. Kwa kipindi hiki NBAA imetembelea mkoani Tanga ikiwa na lengo la kuwajengea ufahamu wanafunzi kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bodi hiyo. Akizungumza wakati wa kutoa…

Read More