TANESCO yashukuru kwa Kutambuliwa na kupokea Tuzo ya Huduma Bora
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeelezea furaha na shukrani zake kwa wadau wake kwa kutambua mchango wake katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi, hatua ambayo imepelekea shirika hilo kupata tuzo ya mtoa huduma bora. Tuzo hiyo ilitolewa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya…