Taji la Cecafa lampa mzuka Eliza
NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana, Elizabeth Chenge amesema ilikuwa lazima wanyakue ubingwa wa Mashindano ya Shule ya ‘CECAFA Zonal CAF African Schools Football Championship’ kutokana na historia ya Tanzania kwenye mashindano ya CECAFA. Mashindano hayo ya timu za Shule yalifanyika Uganda kuanzia Desemba 6-9 na Tanzania ilipangwa Kundi B na Ethiopia,…