Mahakama yamtaka Mwakinyo kwenye usuluhishi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefikia uamuzi wa kulipeleka shauri la kesi ya madai inayomkabili bondia Hassan Mwakinyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion katika usuluhishi ambapo imemtaka mdaiwa na mdai kufika bila kukosa keshokutwa Ijumaa. Kesi hiyo ambayo juzi ilikuwa maalumu kwa ajili ya kutajwa katika usuluhishi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Rahim…