CCM ‘yawaka’ wanaopotosha hotuba ya Rais Samia
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinaunga mkono hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuhusu kukemea vitendo vya utekaji na mauaji aliyoitoa mkoani Kilimanjaro, huku kikiwajia juu wanaoipotosha. Jumanne Septemba 17, 2025 akifunga mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi na miaka 60 ya jeshi hilo, Rais Samia alilaani vitendo vya…