Siku ya Ulimwenguni kwa barafu za barafu

Khumbu Glacier katika mkoa wa Mt. Everest huko Nepal. Ripoti mpya inasema Glacier Melt huongeza hatari ya kupata athari na athari za kuongezeka kwa uchumi, mazingira, na jamii, sio tu katika mikoa ya mlima bali katika kiwango cha ulimwengu. Mikopo: Tanka Dhakal/IPS na Tanka Dhakal (Bloomington, USA) Jumamosi, Machi 22, 2025 Huduma ya waandishi wa…

Read More

Dk Mwinyi apiga kura, apongeza wananchi kudumisha amani

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani. Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na familia yake, mke wake, Mariam na watoto…

Read More

Kocha JKT avivusha vigogo makundi

WAKATI Simba na Yanga zikiwa na mchezo wa raundi ya pili katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa JKT Tanzania, Ahmed Ally amezipa mbinu timu hizo. Yanga itakuwa mwenyeji wa CBE ya Ethiopia kwenye uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar, leo Jumamosi wakati watani zao, Simba watakuwa na kibarua dhidi…

Read More

Dk Nchimbi asimulia alivyolipiwa ada na hayati Mkapa

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi amesimulia namna Rais wa awamu ya tatu, hayati Benjamin Mkapa alivyomuhamasisha kuendelea na masomo ya elimu ya juu na kumlipia ada ili kufanikisha jambo hilo. Dk Nchimbi amesimulia hayo leo Jumapili Julai 28, 2024 alipotembelea kaburi la hayati Mkapa lililopo katika Kijiji cha Lupaso, Wilaya ya Masasi mkoani…

Read More

Kibwana afafanua ishu ya kiungo Yanga

BAADA ya kuwapo kwa taarifa za kiungo mshambuliaji wa Yanga Princess, Aregash Kalsa kuachwa na timu hiyo, mratibu wa kikosi hicho Kibwana Matokeo amesema nyota huyo bado yupo Jangwani. Kumekuwapo na taarifa mitandaoni zinazodai kwamba mchezaji huyo anayetumia mguu wa kushoto amejiunga na RS Berkane ya Ligi Kuu ya Wanawake Morocco. Kalsa alijiunga na Yanga…

Read More

NATIONAL DIALOGUE DISCUSSES DIGITAL VIOLENCE AGAINST WOMEN IN POLITICS AND ELECTIONS IN TANZANIA

The Women in Law and Development in Africa (WiLDAF Tanzania), in collaboration with the government and development partners, organized a National Dialogue to discuss the challenges of technology-facilitated violence and other forms of violence against women in politics and elections. The dialogue, held on October 3, 2025, in Dar es Salaam, brought together representatives from…

Read More

Askofu Sendoro wa KKKT afariki dunia kwa ajali Kilimanjaro

Mwanga. Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku wa Jumatatu, Septemba 9, 2024 kwa ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea eneo la Kisangiro, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimaniaro, baada ya gari alilokuwa akiendesha Askofu Sendoro kugongana uso kwa uso la lori. Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

Mambo manne yanayomsubiri Rais Samia Morogoro

Morogoro. Changamoto ya miundombinu, upatikanaji wa maji safi na salama, migogoro ya wakulima na wafugaji na kero ya uchafu sokoni ndiyo mambo yanayotarajiwa kujitokeza zaidi kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Morogoro. Rais Samia ameanza ziara ya siku sita leo Agosti 2, 2024 katika Mkoa wa Morogoro. Kwenye ziara hiyo, atakagua miradi mbalimbali…

Read More