MTEI: Mwamba Prisons aliyeinusuru isishuke
JAPOKUWA katibu wa Tanzania Prisons, John Mtei hakuanza kufanya majukumu hayo mwanzoni mwa msimu huu 2024/25, mchango wake umekuwa mkubwa kwa wachezaji kutokana na uzoefu wake wa kukichezea kikosi hicho miaka ya nyuma. Katika mahojiano baina yake na Mwanaspoti Mtei anasema kipindi anachezea timu iliwahi kushuka daraja kabisa na pia kuna msimu iliponea chupuchupu kucheza…