Waziri Lukuvi Aitaka Bodi ya ATF Kufikia Malengo Kutokomeza UKIMWI 2030
Na Mwandishi Wetu Serikali inategemea Bodi ya Mpya ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI italeta fikra mpya, mbinu mpya, na weledi wa hali ya juu ili kuhakikisha Mfuko huo unakuwa chombo madhubuti cha kuhakikisha Tanzania inafikia malengo yake ya kutokomeza UKIMWI ifikapo Mwaka 2030. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri…