Sita wafariki dunia kwa kuangukiwa na gema, kusombwa na mafuriko Same
Same. Watu sita wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kupata maafa yaliyotokana na mvua wilayani humo. Watu hao wamefariki kati ya Desemba 20 hadi 22, 2024 na wanne baada ya nyumba zao kuangukiwa na gema usiku wakiwa wamelala, huku wengine wawili wakisombwa na…