Suluhisho la kisiasa la kumaliza vita nchini Yemen linaweza kufikiwa, mjumbe wa UN anasema – maswala ya ulimwengu

Hans Grundberg Iliyofafanuliwa Juu ya maendeleo ya hivi karibuni ya kisiasa nchini, ambapo waasi wa Houthi, pia hujulikana kama Ansar Allah, na vikosi vya serikali, vinaungwa mkono na muungano unaoongozwa na Saudia, wamekuwa wakipigania madaraka kwa zaidi ya muongo mmoja. Alizungumza pamoja na mratibu wa misaada ya dharura ya UN Tom Fletcher ambaye alisasisha juu…

Read More

MLAPONI AUTAKA UDIWANI KATA YA KIMANG’A

Joto la uchukuaji fomu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kupamba moto ambapo sasa Ndugu Hamisi Mlaponi amechukua rasmi fomu kwa ajili ya nafasi ya Udiwani katika kata ya Kimang’a, wilayani Pangani, mkoani Tanga. Mlaponi ni Mwanasayansi katika eneo la Jamii anayejihusisha na masuala ya misaada ya kibinaadamu na kuhamasisha mifumo ya hifadhi ya jamii…

Read More

Mziki wa Hamza Simba washtua mastaa

KIWANGO alichokionyesha beki wa Simba, Abdulrazack Hamza katika mechi tatu dhidi ya Coastal Union (Ngao ya Jamii), Tabora United na Fountain Geti za Ligi Kuu, kimewaibua baadhi ya mastaa wa timu za Ligi Kuu kumzungumzia wakisema akiendelea kukomaa atamnyang’anya mtu namba kikosini. Beki huyo aliyesajiliwa na Simba msimu huu kutoka Cape Town United ya Afrika…

Read More

NIPE, NIKUPE! Dili za kubadilishana wachezaji zilizokuwa gumzo Ulaya

LONDON, ENGLAND: LISEMWALO ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kutokea dili kubwa la kubadilishana wachezaji, litakalomshuhudia straika Romelu Lukaku akienda Napoli na mwenzake, Victor Osimhen akitua Chelsea. Bila shaka ni dili linalosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka wa huko Ulaya. Kinachoelezwa ni kwamba, Chelsea inahitaji huduma ya straika mpya kwenye kikosi chao na wanamtazama…

Read More

Kiungo Azam aibua matumaini mapya

BAADA ya awali kuelezwa huenda kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atakosa mechi zote za Ligi Kuu Bara zilizobaki, taarifa mpya ni kwamba anaweza kuziwahi zile za kumalizia msimu. Kiungo huyo aliumia mfupa mdogo wa kidole kidogo cha mguu na kufanyiwa upasuaji mdogo ikitazamiwa majeraha yake yatapona kuanzia wiki ya sita tangu kuanza kwa matibabu….

Read More