Saida; Nahodha wa Mv Ilemela aliyeigusa jamii kipekee
Mwanza. Imezoeleka masikioni mwa watu kuwa, mwanamke ni nguzo ya jamii, lakini unapomuona Saida Khailallah akiwa kwenye usukani wa kivuko katikati ya mawimbi ya Ziwa Victoria, unagundua kuwa msemo huo una maana pana zaidi. Si nguzo tu ya jamii yake, bali ya ujasiri, uthubutu na mabadiliko ya fikra katika jamii inayojifunza kuwa uwezo haupimwi kwa…