Aliyekuwa Mwenyekiti Mkuranga anavyopambana kujinasua hukumu ya rushwa, akwaa kisiki kortini
Dar es Salaam. Jitihada za mwenyekiti wa zamani wa Halmashauri ya Mkuranga mkoani Pwani, Juma Abeid, kujinasua na adhabu ya kulipa faini ya Sh700,000 au kifungo cha miaka 4, zimekwaa kisiki katika Mahakama ya Rufani nchini Tanzania. Mwaka 2021, Abeid alitiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga kwa kosa la kupokea rushwa ya Sh440,000…