ALL ACES POKER KASINO YA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET

  NAJUA umekutana na kasino nyingi za mtandaoni Lakini hii kutoka Meridianbet ni kiboko, Kwani kwasasa imekamata mji na kupendwa na wengi na hii ni kutokana na namna watu wanavyoshinda vitita na sio mchezo mwingine ni All Aces Poker. Kutoka kwa watengenezaji wa michezo Microgaming, wameshusha chuma kipya kinaitwa All Aces Poker na mambo kadhaa ya kipekee…

Read More

TOC WAMSHUKURU MKUFUNZI WA JUDO KUTOKA UTURUKI

Na Khadija Kalili Michuzi Tv KAMATI  ya Olimpiki Tanzania (TOC) imeipongeza nchi ya Uturuki kwa kuwapatia Mkufunzi aliyetoa mafunzo kwa walimu wa mchezo wa Judo nchini. Makamu wa Rais (TOC) Henry Tandau amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya walimu wa mchezo huo yaliyofanyika kwenye shule ya Filbert Bayi. Tandau amesema kuwa mafunzo hayo yameendeshwa na…

Read More

Adebayor apiga mkwara Singida | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor amepiga mkwara mapema kabla ya ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara kuanza wikiendi hii, kwa sasa amepata muda mzuri wa kufanya mazoezi na timu, hivyo anarudi na moto. Adebayor aliyesajiliwa dirisha kubwa alianza kutumika katika mechi tatu za Ligi Kuu ikiwamo ile ya kwanza dhidi ya…

Read More

Mamlaka za ajira zatakiwa kuwatendea haki watumishi

Dodoma. Naibu Waziri (Ofisi ya Rais), Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka mamlaka za ajira kuzingatia weledi wakati wa kusikiliza malalamiko ya watumishi ili kuiepushia Serikali gharama pindi malalamiko hayo yanapopelekwa kwenye rufaa. Ametaja miongoni mwa udhaifu wa mamlaka hizo ni kutotoa fursa ya mtumishi kujitetea anapokuwa ametuhumiwa na matokeo…

Read More