Furaha ya wazazi inayoangamiza kesho ya watoto
Dar es Salaam. “Mitandao haisahau.” Ni usemi kueleza kwamba, lolote liwekwalo mtandaoni, ama iwe ni picha, maandiko, video, maoni au taarifa binafsi hubaki na kuna uwezekano wa kuonekana hata kama likifutwa. Hii ni kutokana na kuwa, taarifa mara nyingi huhifadhiwa kwenye seva mbalimbali, watu huhifadhi kwa kuzipakua au kuzipiga picha na wana uwezo wa kuzisambaza…