WAZEE WAASWA KUHAMASISHA JAMII KUJITOKEZA KUPIGA KURA
:::::::: Wazee wa Mkoa wa Dodoma waaswa kuhamasisha jamii kujitokeza Oktoba 29,2025 kupiga kura pamoja na kuhakikisha wanasimamia vijana na kuwasihi kulinda amani ya nchi yetu. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule wakati akizungumza na Wazee hao leo Oktoba 09 juu ya umuhimu wao wa kuhamasisha jamii kujitokeza kupiga kura. Aidha…