NSSF ARUSHA YAZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI KWA WATEJA.

Na, Veronica Ignatus Michuzi Blog, Arusha.  Mfuko wa taifa wa hifadhi ya jamii NSSF Jijini Arusha umefungua  maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja, lengo likiwa ni kutoa shukrani kwa wananchama, motisha, kubainisha mafanikio pia changamoto za mfuko.  Akifungua maadhimisho hayo Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa taifa wa hifadhi ya jamii (NSSF) nchini Masha Mshomba…

Read More