SERIKALI KUNUNUA MTAMBO KUSAFISHA ZIWA VICTORIA

 ::::: Serikali imedhamiria kununua mtambo maalum wa kusafisha ziwa victoria lililoathirika na gugumaji jipya ambalo limekuwa tishio kwa shughuli za uvuvi na usafirishaji kwa wananchi. Hayo yamesemwa Jana Mei 10, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda alipokua akizungumza na Wananchi waliokuwa wakisubiri huduma ya usafiri wa kivuko katika eneo la Kigongo…

Read More

Aman Josiah kutua Dodoma Jiji

DODOMA Jiji ipo hatua za mwisho kumchukua kocha Aman Josiah ili kuziba pengo la Vincent Mashami raia wa Rwanda wanayetaka kuachana naye ikitajwa sababu ya kukosa vigezo vya kukaa benchi kama kocha mkuu. Oktoba 3, 2025, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) ilitoa adhabu kwa Dodoma Jiji kulipa Sh15 milioni kutokana na kucheza mechi tatu…

Read More

Pamba Jiji yampa miaka miwili Baraza

UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na kocha Mkenya Francis Baraza kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili akipishana na Fredy Felix ‘Minziro’ aliyepambana kuibakisha timu hiyo. Baraza ana uzoefu wa soka la Tanzania, kwani amepita Biashara United na Kagera Sugar anatarajia kuwasili nchini Agosti Mosi tayari ya kuanza majukumu ya kuiweka tayari timu hiyo kwa mchaka…

Read More

CHATO WAIPONGEZA INEC RAIS SAMIA

Ramani ya majimbo ya Chato kaskazini na Chato kusini. ……………. Na Daniel Limbe,Torch media  SIKU moja baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutangaza majimbo mapya nane ya likiwemo la Chato kusini, wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wilayani Chato mkoani Geita wameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuandika historia mpya ya kupatikana…

Read More

Watuhumiwa wanane wa unyang’anyi wakamatwa Zanzibar

Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watu wanane kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya unyang’anyi, kati ya hao watatu walijihusisha na tukio la hivi karibuni lililosambaa katika picha mjongeo mitandaoni.  Picha hiyo ilionyesha mtu mmoja akivamiwa na kundi la watu waliovaa mavazi meusi ya mabaibui, wakiwa na silaha za mapanga na…

Read More