Iringa wachekelea huduma za madaktari bingwa 56
Iringa. Siku chache baada ya kuanza kwa kambi ya kanda yakKati ya madaktari bingwa 56 wanaojulikana kama ‘madaktari wa Samia’ katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, wananchi waliopata huduma wameelezea furaha yao. Kambi hiyo iliyoanza juzi, itadumu kwa siku tano. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano, Desemba 4, 2024, baadhi ya wagonjwa wamesema…