Fountain yaziwekea mkakati pointi 6

KIKIOSI cha Fountain Gate chini ya kocha Khalid Adam, leo Jumapili kinarejea kwenye uwanja wa mazoezi kwaajili ya kujiweka tayari kwa dakika 180 zitakazoamua hatma yao. Fountain Gate ipo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 28 ikifanikiwa kukusanya pointi 29, ina kibarua kigumu kuhakikisha inakwepa mtego wa kucheza…

Read More

NONAFILTER MKOMBOZI WA MAJI SAFI NA SALAMA TANZANIA

NA. MWANDISHI WETU Teknolojia ya kuchuja maji ya “NANOFILTER” imeendelea kuimarisha jitihada za usafi wa mazingira, upatikanaji wa maji safi na salama ili kuendelea kuhudumia jamii kwa kuwapata maji safi na salama ya kunywa hususani wanafunzi waliopo shule za Msingi na Sekondari nchini. Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu kwa kushirikiana na shirika…

Read More

Vodacom kuwapa fursa za ajira kwa vijana milioni 1 Afrika

Dar es Salaam.  Kampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana barani humo kupitia ujuzi wa kidijitali kama sehemu ya ahadi yake ya kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kizazi kijacho cha Afrika. Kwa kushirikiana na (Amazon Web Services) AWS, Microsoft, Skillsoft na mashirika mengine, Vodacom…

Read More

RAIS SAMIA ACHANGIA MIL. 50 KUFANIKISHA UJENZI WA SHULE YA MSINGI NA UMALIZIAJI WA ZAHANATI INAYOMILIKIWA NA BAKWATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati inayomilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania – BAKWATA mkoa wa Simiyu. Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,…

Read More

𝐌𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐰𝐚 𝐇𝐚𝐳𝐢𝐧𝐚 𝐀𝐩𝐨𝐧𝐠𝐞𝐳𝐚 𝐔𝐞𝐧𝐝𝐞𝐬𝐡𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐒𝐡𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐥𝐚 𝐌𝐢𝐭𝐢 𝐖𝐞𝐬𝐭 𝐊𝐢𝐥𝐢𝐦𝐚𝐧𝐣𝐚𝐫𝐨

Kilimanjaro. Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mashirika Yasiyo ya Kibiashara kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina, Bw. Joseph Mwaisemba, amefanya ziara ya kikazi katika Shamba la Miti West Kilimanjaro na kutoa pongezi kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa jitihada za kulinda mazingira na kukuza utalii wa ikolojia. Ziara hiyo imefanyika jana, Julai…

Read More

Kuku wanavyotumika kusafirisha dawa za kulevya

Dar es Salaam. Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili kukwepa vyombo vya dola; hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea taarifa za wauzaji wa dawa za kulevya wanaotumia kuku wa kienyeji kusafirisha dawa za kulevya aina ya kokeni. Taarifa kutoka vijiji vilivyopo mpakani mwa Tanzania na nchi jirani ya Kenya, zinadai kuwa dawa hizo hufungwa katika vipakiti vidogo…

Read More