Sio Yanga tu hata Azam v KMKM ni buree
Klabu ya Azam FC imetangaza kuwa mchezo wa marudiano dhidi ya KMKM kombe la Shirikisho utakaopigwa Oktoba 24, 2025 kwenye uwanja wa Azam Complex hauna kiingilio. Kupitia mitandao rasmi ya kijamii ya klabu hiyo, imetangaza mchezo huo kuwa hauna kiingilio kwa majukwaa ya mzunguko pekee huku VIP ikitolewa kwa kadi maalum. “Habari njema kwa mashabiki…