TPDC Yadhamini na Kushiriki Mbio za Marathoni kwa Lengo la Kuelimisha Umma Kuhusu Nishati Safi ya Kupikia
Baadhi ya wanachama wa TPDC Runners Club wakiwa katika picha ya pamoja Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) leo limeungana na wadau mbalimbali katika kushiriki mbio za marathoni zilizoandaliwa kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Mbio hizo zimefanyika katika viwanja vya Green Ground, Oysterbay jijini Dar es Salaam na…