Ijumaa ya Kuondoka na Mkwanja Imefika

IJUMAA ya leo mechi kibao za pesa zinaendelea ndani ya Meridianbet huku wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi mtafutaji hachoki, yaani ni mwendo wa kusaka ODDS KUBWA tuu na kubashiri. Ingia kwenye akaunti yako sasa na ubashiri leo. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA itaendelea ambapo Valencia atakipiga dhidi ya Mallorca huku tofauti ya pointi kati…

Read More

Kiama kwa waharibifu wa mazingira, vyanzo vya maji

Morogoro. Tatizo la uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji linaloendelea nchini, limeifanya Serikali kutoa maagizo saba kwa mamlaka za wilaya, mikoa na za maji ikiwamo kutungwa sheria ndogo za kusimamia vyanzo vyote vya maji na kuwachukulia hatua kali watakaokaidi. Maelekezo mengine ni kila Mtanzania popote alipo kutambua ajenda kubwa na muhimu kwa sasa ni…

Read More

Simba V Dodoma Jiji… Ni mechi ya kisasi

UMUHIMU wa pointi tatu za mchezo wa leo baina ya Simba na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, zinatoa majibu ya namna upinzani unaotarajiwa kuwepo muda wote wa dakika 90 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam saa 10:00 jioni. Simba inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 54,…

Read More

Madereva wa malori wadai kuvamiwa DRC

Dar es Salaam. Madereva wa malori kutoka nchi nne wamedai kuvamiwa na watu waliovalia sare za kijeshi walipokuwa wakisubiri kuvuka mpaka kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Zambia, katika eneo la Kasumbalesa, Lubumbashi. Uvamizi huo umetokea usiku wa kuamkia jana Jumapili, Februari 23, 2025 takriban kilometa 10 kabla ya kufika mpakani, huku malori…

Read More

Asasi za kiraia zapambana na ugaidi licha ya kushutumiwa – DW – 05.08.2024

Kulingana na wadau waliokuwa wanashiriki kongamano jijini Kampala, utakatishaji fedha una mahusiano makubwa na ufadhili unaowawezesha magaidi kuendesha maovu yao. Dhana hii ilianza kupata umaarufu baada ya shambulio lililofanyika Marekani tarehe 11 mwezi Septemba mwaka 2001. Tangu wakati huo, mamlaka za usalama za mataifa na kimataifa zimezidisha juhudi za kushughulikia uhalifu wa kimataifa wa utakatisaji…

Read More

Hatua kwa hatua mauaji ya Milembe wa GGML

Geita. Shahidi wa 13 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa GGML, Milembe Suleman (43) aliyeuawa Aprili 26, 2023 kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo kichwani, usoni na mikononi, ameeleza namna mauaji hayo yalivyofanyika. Shahidi huyo ambae ni askari wa kitengo cha upelelezi G4742…

Read More