WAKAZI BWIRO BUKONDO UKEREWE WATOA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA UJENZI KIVUKO KIPYA
::::::: Wafanyabiashara na wakazi wa maeneo ya Bwiro na Bukondo Wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza wametoa shukrani za dhati kwa Serikali kufuatia kuwajengea maegesho ya kivuko pande zote mbili za Bwiro na Bukondo ikiwa ni maandalizi ya ujio wa kivuko kipya cha MV. BUKONDO. Kivuko cha MV. BUKONDO tayari kimefikia zaidi ya asilimia 94% ya ujenzi…