Piga mshindo wa Ijumaa na Meridianbet

  Je unataka kupiga mshindo siku ya leo?. Basi ingia kwa wajanja wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet uweze kujikusanyia maokoto ya maana na uweze kutimiza ndoto zako, mechi nyingi sana leo kupigwa. Unaweza kusuka jamvi mechi za Zambia vs Chad ambapo Meridinabet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.29 kwa 9.40. Timu…

Read More

WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MAREKANI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein Othman Katanga alipowasili nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) leo Septemba 20, 2024.

Read More

Baraza la Usalama linakataa uundaji wa serikali ya wapinzani huko Sudani – maswala ya ulimwengu

Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, wanachama wa baraza walisema Hatua hiyo ilileta “tishio moja kwa moja kwa uadilifu wa eneo la Sudani” na inaweza kugawanyika nchi, mafuta ya mapigano, na kuongeza shida tayari ya kibinadamu. Mabalozi walithibitisha msaada wa “kutokujali” kwa uhuru wa Sudan, uhuru na umojaakisisitiza kwamba vitendo vya unilateral ambavyo vinadhoofisha kanuni hizi hazihatarisha…

Read More

Idadi wagonjwa wa macho KCMC tishio

Moshi. Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) inapokea  watu 40,000 wenye matatizo ya macho kwa mwaka ambapo miongoni mwa wanaobainika kuwa na tatizzo la ukungu kwenye lenzi ya jicho (cataract), ni wenye umri mkubwa. Hayo yamesemwa leo Mei Mosi, 2024 na Daktari bingwa wa macho, hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Dk…

Read More

Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni – Mkopi

· Hutumika kwenye mifumo ya kielektroniki ya simu, ndege, vyuma vya reli · Yaleta ukombozi kwa wananchi Kyerwa KAGERA MADINI ya Bati (Tin) yameendelea kuwa na mchango kwenye maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini mkoani Kagera huku watanzania wakitakiwa kuchangamkia fursa za uchimbaji wa madini hayo. Akizungumza katika mahojiano maalum, Kaimu Afisa Madini Mkazi…

Read More

Mzozo wa Israeli-Palestina katika ‘Kuvunja Uhakika,’ anahimiza kushinikiza suluhisho la hali mbili-maswala ya ulimwengu

Akihutubia mkutano wa kiwango cha juu juu ya makazi ya amani ya swali la Palestina na utekelezaji wa suluhisho la serikali mbili, Bwana Guterres alitoa ujumbe mkali juu ya uharaka wa hatua na gharama ya kuchelewesha. “Kwa miongo kadhaa, diplomasia ya Mashariki ya Kati imekuwa mchakato zaidi kuliko amani,”Yeye Alisema. “Maneno, hotuba, matamko yanaweza kuwa…

Read More

CCM ilivyopanga upya wawakilishi Zanzibar

Unguja.Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikihitimisha mchakato wake wa ndani wa kuwapata wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka huu, ni majimbo mawili pekee ambapo wateule walishinda katika kura za maoni, lakini majina yao hayakuteuliwa Zanzibar. Badala yake, majina ya waliokuwa wameshika nafasi ya pili katika mchakato huo ndiyo yameteuliwa kupeperusha bendera…

Read More