Jinsi Upatikanaji wa Soko la Marekani Ulivyobadilisha Bahati ya Dada wawili wa Afrika Kusini – Masuala ya Ulimwenguni

Mo's Crib hutumia miundo ya kitamaduni ya Kiafrika na nyenzo endelevu kutengeneza vipande vya mapambo na vifaa vya nyumbani vya hali ya juu vilivyochochewa na asili. Maoni by Mkhululi Chimoio (umoja wa mataifa) Jumanne, Julai 16, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Julai 16 (IPS) – Kilichoanza kama hamu ya kuuza ufundi katika masoko…

Read More

Waziri Kombo apokea magari mawili kutoka Qatar

…… Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini. Qatar kama mshirika wa maendeleo ya uchumi wa Tanzania alikubali ombi na ametoa magari hayo mapya kufuatia ombi la…

Read More

WAZIRI WA UJENZI MHE. ULEGA AIPA KONGOLE ETDCO KWA UTEKELEZAJI BORA MIUNDOMBINU YA UMEME

…………. Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega, ameipongeza Kampuni ya ETDCO kwa umahiri na weledi katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi, ukarabati na usambazaji wa miundombinu ya umeme nchini. Aidha, amewasihi viongozi wa Kampuni hiyo kutangaza mchango wao kwa jamii na kutambua kazi kubwa wanayoifanya katika kuimarisha Sekta ya nishati ya umeme. Mhe. Ulega ameyasema…

Read More

Hersi afafanua ukweli ulivyo madai ya kuishambulia Simba

BAADHI ya mashabiki wa Simba wanalia juu ya uwasilishaji uliofanywa na Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka Afrika (ACA), Injinia Hersi Said kwenye kongamano la soka lililoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la  Kimataifa (FIFA) wakidai bosi huyo aliwamaliza, lakini mwenyewe ametoa ufafanuzi. Akizungumza na Mwanaspoti akiwa Qatar kulikofanyika…

Read More

Tari yazisihi kampuni za mbegu kulipa mirabaha

  MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dk. Thomas Bwana amezieleza kampuni za mbegu kulipia mirahaba ya mbegu wanazotumia zinazotokana na kazi za watafiti wa TARI ili kutoa motisha kwa wagunduzi wa mbegu bora wanazouza kwa wakulima. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk. Bwana amesema hayo leo Novemba 19, 2024…

Read More

Aziz Ki, Yanga bado pazito, Hersi afunguka

Rais wa Yanga, Hersi Said amesema kuwa kiungo nyota wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki bado hajasaini mkataba mpya wa kuitumikia timu hiyo ingawa wapo katika nafasi nzuri ya kumbakisha. Akizungumza nchini Afrika Kusini leo Julai 8, 2024, Hersi amesema kuwa klabu inapambana kwa juhudi kubwa kumshawishi mchezaji huyo abakie na yeye mwenyewe anaonyesha dalili…

Read More