Hukumu kesi ya zawadi kwa Askofu Sepeku Novemba 27
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, imepanga Novemba 27, 2025 kutoa hukumu ya kesi ya ardhi iliyofunguliwa na Bernardo, mtoto wa Askofu John Sepeku. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Oktoba 15, 2025 na Jaji Arafa Msafiri, baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi wake wa mashahidi watano. “Baada ya upande wa utetezi kumaliza…