Vifo vya wanasiasa vilivyotikisa mwaka 2025

Dar es Salaam. Mwaka 2025 umebeba simanzi katika historia ya siasa za Tanzania, baada ya Taifa kupoteza viongozi na wanasiasa mashuhuri waliowahi kulitumikia kwa muda mrefu, ikiwamo kutoa mchango katika maendeleo ya nchi. Katika nyakati tofauti ndani ya mwaka huu, Watanzania walikumbwa na huzuni kufuatia vifo vya viongozi hao, akiwemo Cleopa Msuya, Job Ndugai, Profesa…

Read More

Jaji mfawidhi Mhe.Latifa Mansoor awataka MPLC kupongeza Nguvu Elimu msaada wa kisheria

Jaji Mfawidhi wa Mhakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro,Mh.Latifa Mansoor ameushauri Uongozi wa Shrika la Wasaidizi wa Kisheria Morogoro (MPLC) kuongeza nguvu katika kutoa elimu na msaada wa Kisheria ndani ya jamii kwa lengo la kupanua wigo wa upatikanaji wa haki ili kupunguza matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia,ubakaji,ulawiti na maadili. Aidha…

Read More

Wazazi tusherehekee ila tusijisahau kuna mahitaji ya shule

Kila mwaka, msimu wa sikukuu huja na shamrashamra nyingi, zawadi, sherehe na hamasa ya kusherehekea kwa familia. Hata hivyo, msimu huu pia huja na changamoto za kifedha kwa wazazi wengi, hasa wanapojisahau katika matumizi na kusahau kwamba Januari inasubiri na majukumu mazito ya kifedha, yakiwemo ada za shule, sare, vitabu, na mahitaji mengine ya msingi…

Read More

DPP amfutia kesi Dk Slaa, aachiwa huru

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi mwanasiasa Mkongwe nchini, Dk Wilibrod Slaa (76) baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kuieleza Mahakama kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo dhidi ya mshtakiwa huyo. Mshtakiwa huyo alikuwa anakabiliwa na shitaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X kinyume…

Read More

Wakulima wa pamba walalamikia mizani kuchakachuliwa

Mwanza. Wakulima wa zao la Pamba mkoani hapa wamelalamikia baadhi ya wanunuzi kuchakachua mizani inayotumika kununulia zao hilo, hali inayowasababishia kupata hasara. Wakizungumza leo Jumatano Juni 26, 2024 na Mwananchi, wakulima hao wamesema kitendo hicho kinawafanya baadhi yao kukata tamaa na kushindwa kuendelea na kilimo hicho. “Mizani inayokuja kupima pamba tunaomba wapimaji wasiwe wanaichezea na…

Read More