Macron akwaa kisiki uundwaji wa serikali mpya ya Ufaransa – DW – 27.08.2024
Muungano wa vyama vya mrengo wa kushoto wa New Popular Front, NFP, uliibuka kwenye uchaguzi huo ukiwa kundi kubwa zaidi, lakini ukikosa wingi wa kutosha kuweza kuunda serikali. Katika Bunge la Ufaransa lenye jumla ya viti 577, muungano wa NFP uma viti 190, ukifuatiwa na muungano wa Macron wa mrengo wa wastani wenye viti takribani…