150 wakamatwa Kigoma wakikimbia machafuko DRC
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema idadi ya wahamiaji wanaokimbia machafuko katika mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imeongezeka na kufikia watu 202. Kauli hiyo inakuja siku moja baada ya ripoti kuonesha waasi wa M23, waliokuwa wakipambana na Jeshi la DRC, wameachia mji wa…