Ligi Kuu Bara kuna mechi za kisasi
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo TRA United zamani Tabora United itacheza na maafande wa Tanzania Prisons, huku Mashujaa ikiwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma kucheza na Mbeya City. TRA United itakayokuwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora kuanzia saa 8:00 mchana, inasaka ushindi…