Mzize ana akili ya kizungu kimtindo
WACHEZAJI wa kizungu huwa wanazipa heshima na kuzithamini sana timu ambazo zimewapa fursa ya kujitangaza na kuingia katika daraja la juu kiushindani. Sisemi kama ni wote ila wengi wao wanaziona timu ambazo zimewapa fursa tangu wakiwa vijana wadogo kama sehemu ya maisha yao hivyo hujitahidi kuishi nazo vizuri ili wasiondoke au kumaliza maisha ya soka…