WAZIRI MKUU AJIANDIKISHA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Vijiji utakaofanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mkuu alijiandikisha kwenye kituo cha shule ya msingi Nandagala iliyopo kitongoji cha Nanguruwe, Kata ya Nandagala, Ruangwa Mkoani Lindi. Oktoba 19, 2024 Kushoto ni Afisa Uandikishaji Bw….